MARSALA PANTONE COLOR OF THE YEAR 2015.

06:04 emre ticret 0 Comments

Katika kuukaribisha Mwaka mpya 2015 Whitewings inayofuraha kuwatambulisha kwenu Rangi ya Mwaka inayojulikana kama Marsala Pantone, hii rangi ambayo wengi wamekuwa wakiita Maroon, ama Damu ya mzee. Rangi hii kwa kweli ina mvuto kila mahala inapowekwa kama Dekoration za Nyumba au kwenye Mode za mitindo ya Nguo.

 

 

Katika kujifunza kidogo kuhusu rangi hii kwenye upambaji wa Nyumba zetu ni dhahiri kwamba lazima Tujue kwamba, si lazima Nyumba Nzima itawaliwe na hii rangi, Bali ni Vizuri kujua ni wapi inapotakiwa kuchukua Nafasi yake katika upambaji.

 

Marsala Pantone 2015 inaweza Nyumba yako kwa kuweka Zubehör mbalimbali zenye hii rangi mfano Kissen schmücken , Schalen za mezani, Tischsets und Tischläufer, mapazia, Seitenstühle, Raum Teppiche, wirft na kadhalika.
Wengine pia unaweza itumia kwenye ukuta kama Artwork Flani kwenye Rahmen ya picha Kubwa na kuiweka, au Tapeten kwenye ukuta wa Chumba.

 

Hivyo katika ku-aromatisieren katika Nyumba yako basi chagua Zubehör baadhi ili ulete mwoneka Mzuri unao Weza Kuleta mvuto katika Nyumba yako.
Best of Glücklich, Happy New und Gott segne euch alle.
XOXO.

0 yorum:

Kontaktformular

Name

E-Mail *

Nachricht *